Add parallel Print Page Options

Vifua vyao vilionekana kama ngao za chuma. Sauti zilizotoka katika mbawa zao zilikuwa kama za farasi wengi na magari ya farasi yaendayo vitani. 10 Walikuwa na mikia kama ya nge. Nguvu ya kuwasababishia wanadamu maumivu kwa miezi mitano ilikuwa kwenye mikia yao. 11 Walikuwa na mtawala, aliyekuwa malaika wa kuzimu. Jina lake kwa Kiebrania ni Abadoni.[a] Na kwa Kiyunani ni Apolioni.[b]

Read full chapter

Footnotes

  1. 9:11 Abadoni Ni jina la Kiebrania linalomaanisha “kifo” au “maangamizi”, hutumika kama jina la mahali pa kifo. Tazama Ayu 26:6 na Zab 88:11.
  2. 9:11 Apolioni Jina linalomaanisha “mteketezaji”.