Font Size
Waebrania 13:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 13:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Kwa hiyo tum wendee nje ya kambi, tukashiriki aibu aliyostahimili. 14 Maana hapa hatuna mji wa kudumu, bali tunautafuta ule mji ujao.
15 Basi, kwa njia ya Yesu, tuendelee kumtolea Mungu dhabihu ya sifa, yaani, matunda ya midomo ya watu wanaokiri jina lake.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica