Font Size
Waebrania 13:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 13:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Ninawasihi zaidi mniombee ili nirudishwe kwenu upesi zaidi.
Sala
20 Basi, Mungu wa amani aliyemleta tena kutoka kwa wafu Bwana wetu Yesu, Mchungaji Mkuu wa kondoo, kwa damu ya agano la milele, 21 awape ninyi kila kitu chema, ili mpate kutimiza mapenzi yake akifanya ndani yenu lile linalopendeza machoni pake, kwa njia ya Yesu Kristo; yeye apewe utukufu milele na milele.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica