Font Size
Waebrania 13:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 13:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 awape ninyi kila kitu chema, ili mpate kutimiza mapenzi yake akifanya ndani yenu lile linalopendeza machoni pake, kwa njia ya Yesu Kristo; yeye apewe utukufu milele na milele.
Maneno Ya Mwisho
22 Basi, ndugu zangu, nawasihi mpokee vema maonyo haya, maana nimewaandikia kwa ufupi.
23 Napenda kuwafahamisha kwamba ndugu yetu Timotheo amefun guliwa kutoka gerezani. Akifika mapema, nitakuja naye kuwaona.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica