Add parallel Print Page Options

Yatunzeni maisha yenu yawe huru kutokana na kupenda fedha. Na mridhike na kile mlichonacho. Mungu amesema: “Sitakuacha kamwe; Sitakukimbia kamwe.”(A) Hivyo tunaweza kuwa na uhakika na kusema:

“Bwana ndiye msaidizi wangu;
    Sitaogopa.
Watu hawawezi kunifanya chochote.”(B)

Wakumbukeni viongozi wenu. Waliwafundisha ujumbe wa Mungu. Kumbukeni jinsi walivyoishi na walivyokufa, na muiige imani yao.

Read full chapter