Font Size
Waebrania 13:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 13:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
7 Wakumbukeni viongozi wenu, wale waliowaambia neno la Mungu. Tafakarini jinsi walivyoishi na matokeo ya mwenendo wao, mkaige imani yao. 8 Yesu Kristo ni yule yule, jana, leo na hata milele. 9 Msipotoshwe na mafundisho ya kigeni ya namna mbalimbali. Ni vema mioyo yenu iimarishwe kwa neema, na wala si kwa kutii mash arti kuhusu vyakula, ambavyo havina faida kwa wanaovila.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica