Font Size
Waebrania 7:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 7:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Kwa maana sheria haikufanya kitu cho chote kuwa kikamilifu, na sasa tumeletewa tumaini bora zaidi ambalo linatuwezesha kumkaribia Mungu.
20 Na tumaini hilo halikutolewa pasipo kiapo! Wale waliofa nywa makuhani huko nyuma hapakuwepo kiapo. 21 Bali Yesu alipofa nywa kuhani aliwekewa kiapo wakati Mungu alipomwambia: “Bwana ameapa wala hatabadili nia yake, ‘Wewe ni kuhani milele.”’
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica