Add parallel Print Page Options

21 Lakini Yesu akafanyika kuhani kwa kiapo cha Mungu. Mungu alimwambia:

“Bwana anaweka ahadi kwa kiapo
    naye hatabadili mawazo yake:
‘Wewe ni kuhani milele.’”(A)

22 Hivyo hii inamaanisha kwamba Yesu ni uhakika wa agano zuri zaidi kutoka kwa Mungu kwa ajili ya watu wake.

23 Pia, mmoja wa hawa makuhani wengine alipofariki, asingeendelea kuwa kuhani. Hivyo walikuwepo makuhani wengi wa jinsi hii.

Read full chapter