Font Size
Waebrania 7:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 7:24-26
Neno: Bibilia Takatifu
24 Lakini yeye anaendelea na ukuhani wake daima kwa maana anaishi milele. 25 Kwa hiyo anaweza kwa wakati wote kuwaokoa wale wanaomkaribia Mungu kupitia kwake, kwa sababu yeye anaishi daima ili kuwaombea.
26 Huyu ndiye kuhani mkuu tunayemhitaji: yeye ni mtakatifu, asiye na lawama, asiye na dosari, aliyetenganishwa na wenye dhambi na aliyeinuliwa juu ya mbingu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica