Font Size
Waebrania 7:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Waebrania 7:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
7 Wala hakuna ubishi kuwa mtu mdogo hubarikiwa na mtu aliye mkuu kuliko yeye. 8 Kwa upande wa makuhani wa ukoo wa Lawi, sehemu ya kumi inapokelewa na binadamu ambao hufa; lakini kwa upande huu wa Melkizedeki, sehemu ya kumi inapokelewa na mtu ambaye tunahakikishiwa kuwa anaishi. 9 Mtu anaweza kusema kwamba Lawi, ambaye hupokea sehemu ya kumi, alitoa sehemu ya kumi kupitia kwa Abrahamu,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica