Font Size
Waebrania 8:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Waebrania 8:2-4
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
2 Kuhani wetu mkuu anahudumia katika Patakatifu pa Patakatifu.[a] Anahudumia katika mahali pa hakika kwa ibada[b] palipotengenezwa na Bwana, siyo na mtu yeyote duniani.
3 Kila kuhani mkuu anayo kazi ya kutoa sadaka na sadaka kwa Mungu. Hivyo kuhani wetu mkuu pia anahitajika kutoa kitu kwa Mungu. 4 Kama kuhani wetu mkuu angekuwa anaishi duniani, asingekuwa kuhani. Nasema hivi kwa sababu tayari hapa wapo makuhani ambao wanafuata sheria kwa kutoa sadaka kwa Mungu.
Read full chapterFootnotes
- 8:2 Patakatifu pa Patakatifu Kwa maana ya kawaida, “patakatifu” kwa “Patakatifu pa patakatifu”, mahali pa kiroho ambapo Mungu anaishi na anaabudiwa. Mahali hapa pa kiroho kiliwakilishwa na chumba ndani ya Hema Takatifu katika Agano la Kale. Tazama Hema Takatifu na Patakatifu pa Patakatifu katika Orodha ya Maneno.
- 8:2 mahali pa hakika kwa ibada Kwa maana ya kawaida, “Hema ya kuabudia” au “hema”.
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International