Font Size
Waefeso 3:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 3:9-11
Neno: Bibilia Takatifu
9 Na nieleze wazi wazi ili watu wote waone jinsi siri hii itakavyotekelezwa. Siri hii ilikuwa imefichwa tangu awali kwa Mungu aliyeumba vitu vyote. 10 Yeye alikusudia kwamba sasa, kwa njia ya kanisa, hekima yote ya Mungu ipate kufa hamika kwa mamlaka na nguvu zote katika makao ya mbinguni. 11 Mpango huu ulikuwa sawasawa na mapenzi yake yaliyotimi zwa katika Kristo Yesu Bwana wetu,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica