Font Size
Waefeso 4:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 4:27-29
Neno: Bibilia Takatifu
27 na kumpa she tani nafasi. 28 Mwizi asiibe tena, bali afanye kazi halali kwa mikono yake ili aweze kuwa na kitu cha kuwapa wenye kuhitaji msaada. 29 Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada katika kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica