Font Size
Waefeso 4:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 4:29-31
Neno: Bibilia Takatifu
29 Msiruhusu maneno machafu yatoke vinywani mwenu, bali mazungumzo yenu yawe ya msaada katika kuwajenga wengine kufuatana na mahitaji yao, ili wale wanaowasikiliza wapate kufaidika. 30 Na msimhuzunishe Roho Mtakatifu wa Mungu ambaye ni mhuri wenu wa uthibitisho kwa siku ya ukombozi. 31 Ondoeni kabisa chuki yote, ghadhabu, hasira, ugomvi na matusi, pamoja na kila aina ya uovu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica