Kwa hiyo mfuateni Mungu kama watoto wapendwa. Muishi maisha ya upendo kama Kristo alivyotupenda sisi akajitoa kwa ajili yetu kuwa sadaka yenye harufu nzuri na dhabihu kwa Mungu.

Read full chapter