Font Size
Waefeso 5:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 5:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Kusiwepo na mazungumzo machafu ya aibu, au maneno ya upuuzi au mzaha; mazungumzo ya namna hii hayafai. Badala yake mshukuruni Mungu. 5 Mjue hakika kwamba hakuna mwasherati wala mtu mwenye mawazo machafu, wala mwenye tamaa, yaani mwabudu sanamu, ambaye ataurithi Ufalme wa Kristo na wa Mungu. 6 Msikubali kudan ganywa na mtu ye yote kwa maneno matupu, kwa kuwa hasira ya Mungu huwaka kwa sababu ya mambo kama haya juu ya watu wote wasiomtii.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica