Font Size
Waefeso 6:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 6:11-13
Neno: Bibilia Takatifu
11 Vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama na kupin gana na hila zote za shetani. 12 Kwa maana hatupambani na bina damu, bali tunapambana na tawala na mamlaka na nguvu za ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 13 Kwa hiyo, vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama imara siku ya uovu itakapokuja; na mkishafanya yote, mtakuwa bado mme simama.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica