Font Size
Waefeso 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 6:12-14
Neno: Bibilia Takatifu
12 Kwa maana hatupambani na bina damu, bali tunapambana na tawala na mamlaka na nguvu za ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho. 13 Kwa hiyo, vaeni silaha zote za Mungu ili mpate kusimama imara siku ya uovu itakapokuja; na mkishafanya yote, mtakuwa bado mme simama. 14 Kwa hiyo simameni imara mkisha jifunga na kweli kama mkanda kiunoni na haki kama kinga ya kifuani;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica