Font Size
Waefeso 6:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
Waefeso 6:16-18
Neno: Bibilia Takatifu
16 Zaidi ya haya yote, jivikeni imani kama ngao ambayo itawawe zesha kuzuia mishale yenye miale ya moto kutoka kwa yule mwovu. 17 Vaeni wokovu kama kofia ya vita vichwani na chukueni upanga wa Roho ambao ni neno la Mungu. 18 Ombeni wakati wote katika Roho, katika sala zote na maombi. Kwa hiyo muwe macho na siku zote endeleeni kuwaombea watu wote wa Mungu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica