Font Size
Wafilipi 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
Wafilipi 1:1-3
Neno: Bibilia Takatifu
1 Kutoka kwa Paulo na Timotheo, watumwa wa Yesu Kristo. Kwa watakatifu walioko Filipi pamoja na maaskofu na wasaidizi wote wa kanisa. 2 Tunawatakieni neema na amani itokayo kwa Mungu Baba yetu na kwa Bwana wetu Yesu Kristo. Shukrani Na Maombi.
3 Ninamshukuru Mungu wangu kila ninapowakumbuka
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica