Font Size
Wafilipi 1:11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
Wafilipi 1:11-13
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi
11 Maisha yenu yajaye matendo mengi mema yanayozalishwa na Kristo Yesu ili kumletea Mungu utukufu na sifa.
Matatizo Ya Paulo Yesaidia Kazi ya Bwana
12 Ndugu zangu, ninataka mjue kwamba yote yaliyonipata yamesaidia katika kusambaza Habari Njema, ingawa ninyi mnaweza kuwa mlitarajia kinyume chake. 13 Walinzi wote wa Kirumi na wengine wote hapa wanafahamu kuwa nimefungwa kwa sababu ninamtumikia Kristo.
Read full chapter
Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi (TKU)
© 2017 Bible League International