Add parallel Print Page Options

Na alipofufuliwa na Roho Matakatifu[a] kutoka kwa wafu, alipewa mamlaka kamili ya kutawala kama Mwana wa Mungu. Ni Yesu Kristo, Bwana wetu.

Kupitia kwa Yesu, Mungu amenionyesha wema wake. Na amenipa mamlaka ya kuwaendea watu wa mataifa yote na kuwaongoza kumwamini na kumtii yeye. Kazi yote hii ni kwa ajili yake. Nanyi pia ni miongoni mwa waliochaguliwa na Mungu ili mmilikiwe na Yesu Kristo.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:4 Roho Matakatifu Kwa maana ya kawaida, “Roho wa Utakatifu”.