Font Size
Warumi 1:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 1:6-8
Neno: Bibilia Takatifu
6 Ninyi pia ni miongoni mwa watu walioitwa kuwa wafuasi wa Yesu Kristo.
7 Basi, nawatakieni ninyi nyote mlioko huko Roma, ambao ni wapendwa wa Mungu mlioitwa muwe watakatifu, neema na amani ito kayo kwa Mungu Baba yetu, na kwa Bwana wetu Yesu Kristo.
Maombi Na Shukrani
8 Kwanza kabisa, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inatangazwa duniani kote.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica