Font Size
Warumi 1:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 1:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Maombi Na Shukrani
8 Kwanza kabisa, namshukuru Mungu wangu kwa njia ya Yesu Kristo kwa ajili yenu nyote, kwa sababu imani yenu inatangazwa duniani kote. 9 Mungu ninayemtumikia kwa moyo wangu wote ninapo hubiri Habari Njema ya Mwanae, anajua jinsi ninavyowakumbuka siku zote 10 katika sala zangu kila ninapoomba. Namwomba Mungu, akipenda, hatimaye sasa nipate nafasi ya kuja kwenu.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica