Font Size
Warumi 14:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 14:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Kwa maana Ufalme wa Mungu si kula na kunywa bali ni haki, amani na furaha ndani ya Roho Mtakatifu. 18 Kwa maana mtu ye yote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na anakubaliwa na wanadamu.
19 Kwa hiyo basi, tufanye kila juhudi tutimize yale yaletayo amani na kujengana.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica