18 Kwa maana mtu ye yote anayemtumikia Kristo kwa jinsi hii, anampendeza Mungu na anakubaliwa na wanadamu.

19 Kwa hiyo basi, tufanye kila juhudi tutimize yale yaletayo amani na kujengana. 20 Usiiharibu kazi ya Mungu kwa ajili ya chakula. Vyakula vyote vinafaa, lakini ni kosa kula kitu ambacho kinamfanya mwenzako kujikwaa.

Read full chapter