Font Size
Warumi 15:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 15:1-2
Neno: Bibilia Takatifu
15 Sisi tulio imara katika imani, hatuna budi kuchukuliana na udhaifu wa wale ambao si imara. Tusitafute kujipendeza wenyewe. 2 Kila mmoja wetu anapaswa kumpendeza jirani yake ili kumjenga katika imani.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica