Font Size
Warumi 15:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 15:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Na Mungu aliye chanzo cha subira na faraja awajalie ninyi moyo wa umoja miongoni mwenu mnapomfuata Kristo Yesu, 6 ili kwa pamoja na kwa sauti moja mpate kumtukuza Mungu, Baba wa Bwana wetu Yesu Kristo.
Kuhusu Umoja
7 Mpokeane ninyi kwa ninyi kama Kristo alivyowapokea, ili Mungu apate kutukuzwa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica