Font Size
Warumi 3:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Warumi 3:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Mungu hakupo machonipao.”
19 Basi tunafahamu ya kwamba maagizo yote ya sheria ya Musa yanawahusu wale walio chini ya sheria hiyo. Kusudi la sheria ni kuwafanya watu wote wasiwe na kisingizio na kuuweka ulimwengu wote chini ya hukumu ya Mungu. 20 Kwa hiyo hakuna binadamu hata mmoja atakayehesabiwa kuwa na haki mbele za Mungu kwa kufuata sheria; bali sheria hutufanya tutambue dhambi.
Haki Kwa Njia Ya Imani
21 Lakini sasa, njia ya Mungu ya kuwahesabia watu haki pasipo sheria, njia ambayo sheria na manabii huishuhudia, imekwisha dhihirishwa.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica