Add parallel Print Page Options

Kutoka kwa Yakobo mtumishi wa Mungu na wa Bwana Yesu Kristo.

Kwa makabila Kumi na Mawili[a] ya watu wa Mungu yaliyotawanyika kote ulimwenguni: Salamu!

Imani na Hekima

Kaka na dada zangu, jueni kuwa mtakutana na adha za kila aina. Lakini hilo liwape ninyi sababu ya kuwa na furaha zaidi. Kwa sababu mnajua kuwa imani yenu inapojaribiwa ndipo mnapojifunza kuwa wavumilivu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 1:1 Kumi na Mawili Maelezo ya watu wa Mungu walio wateule wake waliomo katika Agano la Kale. Yakobo anatumia jina hili kwa maana ya Wayahudi ama Wayahudi wanaoamini waliotawanyika kote katika dola ya Rumi.