Add parallel Print Page Options

14 Bali kila mmoja anajaribiwa na tamaa zake mwenyewe, anapovutwa na kunaswa. 15 Kisha tamaa inapotunga mimba inazaa dhambi, na dhambi ikikomaa kabisa inazaa kifo.

16 Kaka zangu na dada zangu wapendwa msikubali kudanganywa,

Read full chapter