Font Size
Yakobo 1:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:21-23
Neno: Bibilia Takatifu
21 Kwa hiyo epukeni uchafu wote na uovu ambao umeenea, mkapokee kwa unyenyekevu lile neno lililopandwa mioyoni mwenu ambalo linaweza kuokoa nafsi zenu.
22 Basi muwe watendaji wa neno na wala msiwe wasikilizaji tu, ambao wanajidanganya wenyewe. 23 Kwa maana kama mtu ni msi kilizaji tu wa neno na wala hatekelezi alilosikia, atafanana na mtu ajitazamaye uso wake katika kioo,
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica