Font Size
Yakobo 1:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Na ustahimilivu ukimaliza kazi yake mtakuwa wakamilifu pasipo kupungukiwa na cho chote.
5 Lakini kama mtu ye yote kati yenu akipungukiwa na hekima, basi na amwombe Mungu, ambaye huwapa watu wote kwa ukarimu pasipo kulaumu, naye atapewa. 6 Lakini aombe kwa imani pasipo shaka yo yote; maana mwenye mashaka ni kama wimbi la bahari ambalo husu kumwa na upepo, likitupwa huku na huku.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica