Font Size
Yakobo 1:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
Yakobo 1:5-7
Neno: Bibilia Takatifu
5 Lakini kama mtu ye yote kati yenu akipungukiwa na hekima, basi na amwombe Mungu, ambaye huwapa watu wote kwa ukarimu pasipo kulaumu, naye atapewa. 6 Lakini aombe kwa imani pasipo shaka yo yote; maana mwenye mashaka ni kama wimbi la bahari ambalo husu kumwa na upepo, likitupwa huku na huku. 7 Mtu kama huyo asidhani atapata kitu cho chote kutoka kwa Bwana;
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica