Add parallel Print Page Options

yeye ni mwenye mashaka na hufikiria mambo mawili tofauti kwa wakati mmoja.

Utajiri wa Kweli

Ndugu aliye maskini na awe na furaha sana kwamba Mungu amemchukulia kuwa mtu wa maana sana. 10 Na waaminio walio matajiri wawe na furaha sana tu pale Mungu anapowashusha chini. Kwani utajiri wao hautawazuia kufa kama maua ya porini.

Read full chapter