Font Size
Yohana 10:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 10:13-15
Neno: Bibilia Takatifu
13 Yeye hukimbia kwa sababu ameaji riwa tu na hawajali kondoo.
14 Mimi ni Mchungaji Mwema: ninawafahamu kondoo wangu nao wananifahamu, 15 kama vile Baba yangu anavyonifahamu na mimi ninamfahamu. Nami nautoa uhai wangu kwa ajili ya kondoo.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica