Font Size
Yohana 10:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 10:17-19
Neno: Bibilia Takatifu
17 Baba yangu ananipenda kwa kuwa ninautoa uhai wangu ili niupate tena. 18 Hakuna mtu atakayeondoa uhai wangu, bali ninautoa mwenyewe. Ninao uwezo wa kuutoa uhai wangu na pia ninao uwezo wa kuuchukua tena. Hii ni amri niliyopo kea kutoka kwa Baba yangu.”
19 Maneno haya yalisababisha mafarakano tena kati ya Way ahudi.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica