29 Baba yangu ambaye amenipa hawa ni mkuu kuliko wote na hakuna awezaye kuwatoa hawa kutoka katika mikono yake. 30 Mimi na Baba yangu tu mmoja.”

31 Kwa mara nyingine wale Wayahudi wakainua mawe ili wampige nayo.

Read full chapter