Add parallel Print Page Options

29 Baba yangu ndiye aliyenipa hao, naye ni mkuu kuliko wote.[a] Hakuna anayeweza kuwaiba kondoo wangu kutoka mkononi mwangu. 30 Mimi na Baba tu umoja.”

31 Kwa mara nyingine Wayahudi pale wakaokota mawe ili wamuue Yesu.

Read full chapter

Footnotes

  1. 10:29 Baba yangu … kuliko wote Baadhi ya nakala za zamani za Kiyunani zina, “Kile ambacho Baba amenipa ni kikubwa kuliko vyote.” Kuna tafsiri nyingi katika makala za zamani za Kiyunani. Nakala zingine za baadaye zina “Baba yangu, ambaye amewapa kwangu mimi ni mkuu kuliko wote.”