Add parallel Print Page Options

Mchungaji huwatoa nje kondoo wake wote. Kisha huwatangulia mbele na kuwaongoza. Kondoo nao humfuata, kwa sababu wanaifahamu sauti yake. Lakini kamwe kondoo hawatamfuata wasiyemfahamu. Bali watamkimbia, kwa sababu hawaifahamu sauti yake.”

Yesu aliwaambia watu habari hii, lakini hawakuelewa ilikuwa ina maana gani.

Read full chapter