Yesu alitumia mfano huu lakini wao hawakuel ewa maana yake.

Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni mlango wa kupitia kondoo. Wote walionitangulia ni wezi na wany ang’anyi. Hata hivyo kondoo hawakuwafuata.

Read full chapter