Add parallel Print Page Options

Yesu aliwaambia watu habari hii, lakini hawakuelewa ilikuwa ina maana gani.

Yesu Mchungaji Mwema

Hivyo Yesu akasema tena, “Hakika ninawaambia, Mimi ni mlango wa kondoo. Wote walionitangulia walikuwa wezi na wanyang'anyi. Kondoo hawakuwasikiliza hao.

Read full chapter