Kwa hiyo Yesu akasema nao tena akawaambia, “Mimi ni mlango wa kupitia kondoo. Wote walionitangulia ni wezi na wany ang’anyi. Hata hivyo kondoo hawakuwafuata. Mimi ni mlango; mtu ye yote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho.

Read full chapter