Add parallel Print Page Options

Yesu Mchungaji Mwema

Hivyo Yesu akasema tena, “Hakika ninawaambia, Mimi ni mlango wa kondoo. Wote walionitangulia walikuwa wezi na wanyang'anyi. Kondoo hawakuwasikiliza hao. Mimi ni mlango. Yeyote anayeingia kupitia kwangu ataokoka. Ataweza kuingia na kutoka nje. Atapata kila anachohitaji.

Read full chapter