Font Size
Yohana 10:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 10:8-10
Neno: Bibilia Takatifu
8 Wote walionitangulia ni wezi na wany ang’anyi. Hata hivyo kondoo hawakuwafuata. 9 Mimi ni mlango; mtu ye yote anayeingia zizini kwa kupitia kwangu atakuwa salama, naye ataingia na kutoka na kupata malisho. 10 Mwizi huja kwa nia ya kuiba, kuua na kuharibu. Nimekuja ili watu wapate uzima; uzima ulio kamili.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica