Font Size
Yohana 16:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 16:30-32
Neno: Bibilia Takatifu
30 Sasa tumejua kwamba wewe una jua mambo yote wala hakuna haja ya mtu kukuuliza maswali. Kwa hiyo tunaamini kwamba ulitoka kwa Mungu.” 31 Yesu akawajibu, “Sasa mnaamini? 32 Saa inakuja, tena imeshawadia, ambapo mtata wanyika, kila mtu aende nyumbani kwake na kuniacha peke yangu; lakini mimi siko peke yangu kwa sababu Baba yuko pamoja nami.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica