Font Size
Yohana 17:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:19-21
Neno: Bibilia Takatifu
19 Kwa ajili yao nimejitoa wakfu kwako ili na wao wapate kuwa watakatifu kwa kufahamu kweli yako.
Yesu Anawaombea Watakaoamini Baadaye
20 “Siwaombei hawa peke yao; bali nawaombea pia wale wote watakaoniamini kwa sababu ya ushuhuda wa hawa. 21 Ninawaombea wote wawe kitu kimoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi ni ndani yako; ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica