Font Size
Yohana 17:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:20-22
Neno: Bibilia Takatifu
Yesu Anawaombea Watakaoamini Baadaye
20 “Siwaombei hawa peke yao; bali nawaombea pia wale wote watakaoniamini kwa sababu ya ushuhuda wa hawa. 21 Ninawaombea wote wawe kitu kimoja kama vile wewe Baba ulivyo ndani yangu na mimi ni ndani yako; ili na wao wawe ndani yetu na ulimwengu upate kuamini ya kuwa wewe ulinituma. 22 Nimewapa utukufu ule ule ulionipa ili wawe kitu kimoja kama sisi tulivyo -
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica