Font Size
Yohana 17:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:4-6
Neno: Bibilia Takatifu
4 Baba nime kutukuza hapa duniani kwa kutimiza kazi uliyonipa niifanye. 5 Na sasa Baba nipe mbele yako ule utukufu niliokuwa nao pamoja na wewe hata kabla dunia haijaumbwa. 6 Nimewafahamisha jina lako wale ambao umenipa kutoka katika ulimwengu. Wao wametii neno lako.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica