Font Size
Yohana 17:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
Yohana 17:7-9
Neno: Bibilia Takatifu
7 Sasa wamefahamu ya kuwa vyote ulivyonipa vinatoka kwako ; 8 kwa kuwa nimewapa ujumbe ulionipa, nao wameupokea. Wamefahamu hakika ya kuwa nimetoka kwako na wameamini kwamba ulinituma. 9 Siwaombei watu wote wa ulimwengu bali nawaombea hawa ulionipa kwa sababu wao ni wako.
Read full chapter
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)
Copyright © 1989 by Biblica